Friend Zone Lyrics by Harmonize & Ibraah

Harmonize and Ibraah Lyrics

In one of the most unexpected collaborations of the year, Tanzanian singer Harmonize has teamed up with his former label signee in a soulful Bongo Flava track titled Friendzone. The song celebrates love and romance, marking the eighth collaboration between the two artists.

Artwork for Friend Zone Lyrics by Harmonize and Ibraah

Read and enjoy Friendzone Lyrics by Harmonize and Ibraah below:

Intro
Yow yow
Call me Konde Boy, Number 1
Bakhresa
Man, I miss my friend

Verse 1
Story za wapenzi wetu tukasimuliana
How to make love tukafundishana
Ingali bado wana
Tukacheka sana mimi nawe

Sasa kuna mtu anasema mi namsema sana
Nachokumbuka tulimsema sana
Ingali bado wana
Tukacheka sana mimi nawe

Pindi bado tupo marafiki
Waloshibana kwenye raha na dhiki
Alikuwa bonge la shabiki
Nyie dunia mbona haitabiriki

I remember them say love is wicked
Et leo simu yake siishiki
Hata yangu kuna simu hazifiki
Bora tungebaki marafiki

Basi tena ataniita binamu, kinyama cha hamu
Ikabidi ni come come come
Oooh alivyiona tamu, kajitoa ufahamu

Chorus
Hataki tena zamu, zamu, zamu
Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli

Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Et amezama kweli

Hataki zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli

Hataki zamu
Anasema ananipenda
Et amezama kweli

Verse 2
Hakudhani kama tungekuwa wachumba
Alijua tu anapita shida, moyo umemdunda
Utani utamu umgeuka true love
Et anamiss mi hata nimshike mashavu

Nilikua namuita best friend
Siku hizi nikimuita rafiki hapendi
Nilichompa kimemteka, anatekenyeka
Ajatekenywa, anacheka

Akipiga simu ananiita binamu, kinyama cha hamu
Oooh ololoo, mbona tamu, kajitoa ufahamu

Chorus
Hataki tena zamu, zamu, zamu
Et hataki zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli

Hataki zamu eeh
Et amezama kweli

Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Mchezo ameupenda kweli

Hataki tena vya zamu
Anasema ananipenda
Et amezama kweli

Outro
Yow yow
It’s Konde Boy
Call me Number 1
Bakhresa
Konde Music Worldwide

Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook

The post Friend Zone Lyrics by Harmonize & Ibraah appeared first on NotjustOk.

Harmonize and Ibraah Lyrics In one of the most unexpected collaborations of the year, Tanzanian singer Harmonize has teamed up with his former label signee in a soulful Bongo Flava track titled Friendzone. The song celebrates love and romance, marking the eighth collaboration between the two artists. Read and enjoy Friendzone Lyrics by Harmonize and
The post Friend Zone Lyrics by Harmonize & Ibraah appeared first on NotjustOk. Read More

​ 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *