Nani Lyrics by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz Lyrics

After experimenting with Amapiano and other foreign-influenced genres, Diamond Platnumz has returned to his Bongo Flava roots with a brand new track titled Nani, which has been warmly received by fans.

Image of Tanzanian singer Diamond Platnumz

Read Nani Lyrics by Diamond Platnumz below:

Intro
Aiyoo… oh
Zombie we
Zombie wewe
Oh, Zombie yo
S2Kizzy Baby

Verse 1
Wanaosema wamekuzidi, wamemzidi who?
Labda kuuza vi pipi na nyingi tattoo
Si wakuonjwa, kumezwa labda watemwe, tuu
Wivu ugonjwa, viendekeza vimeshushuka, shuu

We ndio my Bolingo, Kibinda nkoi
Ukinifanyia maringo, aki sitoboi
Kawe dereva, mi utingo penzi lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori

Pre-Chorus
Mi hapo baby yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu natunaga chini
Sa utoto ndio nini, kunishitua injini
Kama unanipa, nipe, mi sipendi kudundishiwa chini

Chorus
We bwana we
Niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa

Bridge
Lala, lala, lala

Verse 2
Embe dodo, embe dodo (Eh!) limelala mchangani (Ah!)
Nimeoza si kidogo, niko hoi taabani
Iwe huba au virobo (Eh!) kazi kwenu kina nyani (Ah!)
Maana hamnaga dogo, kwani kuna jipya gani?

We ndio my Bolingo, Kibinda nkoi
Ukinifanyia maringo, aki sitoboi
Kawe dereva, mi utingo penzi lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori

Pre-Chorus
Mi hapo baby yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu natunaga chini
Sa utoto ndio nini, kunishitua injini
Kama unanipa, nipe, mi sipendi kudundishiwa chini

Chorus
We bwana we
Niende kwa nani asa, niende asa (Oh, niende, ndi, ndende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Oh, eti nikuache wewe)
Niende kwa nani asa, niende asa

Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook

The post Nani Lyrics by Diamond Platnumz appeared first on NotjustOk.

Diamond Platnumz Lyrics After experimenting with Amapiano and other foreign-influenced genres, Diamond Platnumz has returned to his Bongo Flava roots with a brand new track titled Nani, which has been warmly received by fans. Read Nani Lyrics by Diamond Platnumz below: IntroAiyoo… ohZombie weZombie weweOh, Zombie yoS2Kizzy Baby Verse 1Wanaosema wamekuzidi, wamemzidi who?Labda kuuza vi
The post Nani Lyrics by Diamond Platnumz appeared first on NotjustOk. Read More

​ 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *