Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz Lyrics

Tanzanian singer and songwriter is back with a new upbeat track expected to become a club anthem across East Africa. Titled Sasampa, a Swahili slang term for money, the song marks yet another hit release from the artist.

Diamond Platnumz

Read and enjoy Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz:

Intro
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man

Verse 1
Oya we tia hela tia hela tia hela
Tia hela
Usipeleke maua, tia hela, tia hela (usipeleke)
Tia hela (usiongee ongee)
Tia hela tia

Chorus
Toa sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Verse 2
Eeeh mkono mtupu afu huwaga haulambwagi
Penzi chukuchuku aku bwana halinogagi
We unapenda uchu alafu kuhonga hauongagi
Eti nipe kiduchu, mmhh hebu acha unyonyaji

Oya toa hela sio ngonjera, watoto wazuri wanataka cheda
Na sio kumbwela, kutela tela
Maneno neno mengi kama Zembwela

Chorus
Oya we tia hela tia hela tia hela
Tia hela
Usipeleke maua, tia hela, tia hela (usipeleke)
Tia hela (usiongee ongee)
Tia hela tia

Toa sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Verse 3
Auzwege powa powa vipi pozeza kila navo rafiki
Eeeh ayy ngelowanchichi
Wasolilimeli mali ay nkiki

Eeeh powa powa vipi pozeza kila navo rafiki
Eeeh ayy ngelowanchichi
Wasolilimeli mali ay nkiki

Chorus
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Bridge / Outro
Silence Africa Sasampa Sasampa
Etombi mistracha ayatandi ugrasa
Kongi maali ingrenaa
Kolomanji siengala zin
Bolosa siezo zali manger
Ay maninongana sema busy busy spani
Money lachi kaizee

Sasampa sasampa
Kopizi mambara
Indombi uzandi ufunguye zimbalii


Chorus / Repeat
Oya we tia hela tia hela tia hela
Tia hela
Usipeleke maua, tia hela, tia hela (usipeleke)
Tia hela (usiongee ongee)
Tia hela tia

Toa sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Get Fresh updates from NotJustOk as they drop via X and Facebook

The post Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz appeared first on NotjustOk.

Diamond Platnumz Lyrics Tanzanian singer and songwriter is back with a new upbeat track expected to become a club anthem across East Africa. Titled Sasampa, a Swahili slang term for money, the song marks yet another hit release from the artist. Read and enjoy Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz: IntroEy Ey Ey Man Ey ManEy
The post Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz appeared first on NotjustOk. Read More

​ 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *