Sella Lyrics by Ali Kiba

Ali Kiba Lyrics

Tanzanian music heavyweight Ali Kiba is back with another soulful Bongo Flava hit titled Sella, a track that has captured and soothed the hearts of Bongo Flava fans across East Africa and beyond.

Image of Tanzanian singer Ali Kiba

Read and enjoy Sella Lyrics by Ali Kiba below:

Verse 1
Toka umeondoka, Bongo amani imezizima ya moyo
Hamu nzima na uongo, najinyima raha upate furaha
Sina mama, sina so, najua mi sina mawe
Naona nazongwa na Bachelor
Nilisubiri nirudi nikuoe, aaah

Si ulinambia unaenda soma
Umerudi na ulezi, mtu na mwanae
Na vipesa nilivyotuma, oooh mama nilijinyima upate, weee
Sasa inaitwa maza, akili na mwili vimepagawa
Nakunywa energy na sina pawa
Maki ya kunywa, ila we umenawa

Pre-Chorus
Salamu natuma kwa yule ulisoma nae
Nikipiga simu, anapokea
Anaongea uliyesoma nae
Ulisema huyo msela, msela huyo unasoma nae
Tunda langu alala, Sella
Akatafuna tafuna, oooh Sella

Chorus
Sella Sella Sella Sella Sella Sella
Sella Sella Sella Sella Sella Sella
Sella Sella Sella Sella Sella Sella
Sella Sella Sella Sella Sella Sella

Ooooh Sella

Verse 2
Siutaki tena moyo, ikiwezekana nipewe mwingine
Nitaifuta memory, nihamie dunia nyingine
Kuna watu na viatu, kuna watu wana roho za kwatu, noo
Acha watu mijitu, kuna mijitu ina roho za chatu, ooh

Chimba nenda mama, chimba (chimba)
Mimi bado ni mzima
Nimeharibu body engine mzima (mzima)
Nitaanza upya tena (tena)
Chimba nenda mama, chimba (chimba)
Mimi bado ni mzima
Nimeharibu body engine mzima (mzima)
Nitaanza upya tena (tena)

Pre-Chorus
Salamu natuma kwa yule ulisoma nae
Nikipiga simu, anapokea
Naongea uliyesoma nae
Ulisema huyo msela, msela huyo unasoma nae
Tunda langu alala, Sella
Akatafuna tafuna, oooh Sella

Chorus
Sella Sella Sella Sella Sella Sella
Sella Sella Sella Sella Sella Sella
Sella Sella Sella Sella Sella Sella
Sella Sella Sella Sella Sella Sella

Ooooh Sella

Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook

The post Sella Lyrics by Ali Kiba appeared first on NotjustOk.

Ali Kiba Lyrics Tanzanian music heavyweight Ali Kiba is back with another soulful Bongo Flava hit titled Sella, a track that has captured and soothed the hearts of Bongo Flava fans across East Africa and beyond. Read and enjoy Sella Lyrics by Ali Kiba below: Verse 1Toka umeondoka, Bongo amani imezizima ya moyoHamu nzima na
The post Sella Lyrics by Ali Kiba appeared first on NotjustOk. Read More

​ 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *