Harmonize Lyrics
Get ready to groove and sing along to Harmonize’s latest song, titled X, read the song’s lyrics below.

Harmonize – X Lyrics
Kondeboy, call me “Number one”
Nani kasema. X wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Ivi nani kasema X wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Nikimuona analewa namuelewaa
Anajiona kachelewa age go
Na bado hajapewa viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa age go
Nani kasema ex wangu anaenjoy
Nani kasema anapata raha
Ivi nani kasema ex wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Never
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Ibiza Miami mbali
Hajapelekwa hata Zanzibari
Hapo kizimkazi aka enjoy
Low-budget Dubai hatoboi
Anasikitisha x
Kama embe la mti wa porini
Anajipitisha X
Amekosa wa kumuweka mjini
Nikimuona analewa namuelewaa
Anajiona kachelewa age go
Na bado hajapewa viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa age go
Nani kasema ex wangu anaenjoy
Nani kasema anapata raha
Ivi nani kasema ex wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Never
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
It’s Kondeboy. Call me “Number one”
Bakhresa
Konde music worldwide
Eh
Sikumpenda tu nilimtukuza
Nikala bata bila kumchunguza babe
Mambo madogo akayakuza
Eti kisa upendo akaniburuza
Check out more song lyrics here and follow us on X and Facebook
The post X Lyrics by Harmonize appeared first on NotjustOk.
Harmonize Lyrics Get ready to groove and sing along to Harmonize’s latest song, titled X, read the song’s lyrics below. Harmonize – X Lyrics Kondeboy, call me “Number one” Nani kasema. X wangu ana enjoyNani kasema anapata rahaIvi nani kasema X wangu ana enjoyNani kasema anapata raha Nikimuona analewa namuelewaaAnajiona kachelewa age goNa bado hajapewa
The post X Lyrics by Harmonize appeared first on NotjustOk. Read More


